Now showing items 1-20 of 21

  • Jinsi ya Kutumia Mtandao Huu Kufanya Mafungo (How to Use This Site to Make an Online Retreat) 

   Alexander, Andy, S.J.; Waldron, Maureen McCann (Creighton University, Online Ministries. Omaha, Nebraska, United States, 2000)
   Maswali Yanayoulizwa Mara Kwa Mara (FAQ).|Inawezekana vipi kufanya mafungo (ritriti) kwa mtandao?|Ni utaratibu gani nijizoeze kuufuata?|Je, mafungo haya ni kama kufanya Mazoezi ya Kiroho ya Mtakatifu Inyasi wa Loyola?|Itakuwaje ...
  • Nitaanzaje Kufanya Mafungo Haya? (How Do I Get Started Making the Retreat) 

   Alexander, Andy, S.J.; Waldron, Maureen McCann (Creighton University, Online Ministries. Omaha, Nebraska, United States, 2000)
   Kila Juma la mafungo lina Ukurasa Mwongozo ambao huelekeza jinsi ya kufanya mafungo katika juma hilo. Ukurasa Mwongozo unatoa mada ya wiki husika, hususan neema ya kusalia (kuomba) katika juma hilo. Kwenye upande wa kulia ...
  • The Week 1 Guide: Juma 1 

   Alexander, Andy, S.J.; Waldron, Maureen McCann (Creighton University, Online Ministries. Omaha, Nebraska, United States, 2000)
   JUMA LA KWANZA|Tuanzie Hapo Mwanzoni: Hadithi ya Maisha Yetu|Mwongozo: Kumbukumbu Zinazotufanya Sisi Kuwa Tulivyo| Hili ni juma la kwanza la majuma 34 ya safari yetu ya kiroho. Tunaanzia mwanzoni—hadithi ya maisha yetu. ...
  • Week 10 Guide: Juma 10 

   Alexander, Andy, S.J.; Waldron, Maureen McCann (Creighton University, Online Ministries. Omaha, Nebraska, United States, 2000)
   JUMA LA KUMI|Mwaliko wa Kupenda — Ambatana Nami Tafadhali|Mwongozo: Wito wa Ubatizo Wetu|Jaribu kuwaza kama vile rafiki yako karudi sasa hivi kutoka katika nchi iliyo na umaskini na matatizo yanayokithiri; nchi ambapo wengi ...
  • Week 11 Guide: Juma 11 

   Alexander, Andy, S.J.; Waldron, Maureen McCann (Creighton University, Online Ministries. Omaha, Nebraska, United States, 2000)
   JUMA LA KUMI NA MOJA|Mwaliko wa Kupenda — Mwitikio Wetu|Mwongozo: Kufanya Majitoleo ya Nafsi Kikamilifu|Katika Juma hili tuitikie kwa moyo mwaliko wa mapendo tulioupata. Kupitia katika zoezi la juma lililopita, tumeweza ...
  • Week 12 Guide: Juma 12 

   Alexander, Andy, S.J.; Waldron, Maureen McCann (Creighton University, Online Ministries. Omaha, Nebraska, United States, 2000)
   JUMA LA KUMI NA MBILI|Huruma ya Mungu—Mchipuko wa Utume wa Kristu|Mwongozo: Kuwa na Kristu Katika Utume Wake| Tumeuitikia mwaliko wa Yesu mpendwa wetu. Kwa kiwango fulani, tumeashiria utayari wetu wa kushirikiana na Yesu ...
  • Week 13 Guide: Juma 13 

   Alexander, Andy, S.J.; Waldron, Maureen McCann (Creighton University, Online Ministries. Omaha, Nebraska, United States, 2000)
   JUMA LA KUMI NA TATU|Mungu Anatayarisha Njia|Mwongozo: Ahadi|Kurasa za mwanzo za Kitabu cha Picha cha Yesu (Albamu ya Picha) kinatuonyesha ustahamilivu na uaminifu wa Mungu katika matayarisho ya kumtuma Yesu Kristu kuja ...
  • Week 14 Guide: Juma 14 

   Alexander, Andy, S.J.; Waldron, Maureen McCann (Creighton University, Online Ministries. Omaha, Nebraska, United States, 2000)
   JUMA LA KUMI NA NNE|Mungu Anatangaza Njia; Watumishi Wako Tayari|Mwongozo: Imani ya Watu Alimozaliwa Yesu|Tunapoangalia albamu ya picha ya rafiki yetu, baadhi ya picha zinazotuvutia zaidi ni zile za wazazi na za bibi na ...
  • Week 15 Guide: Juma 15 

   Alexander, Andy, S.J.; Waldron, Maureen McCann (Creighton University, Online Ministries. Omaha, Nebraska, United States, 2000)
   JUMA LA KUMI NA TANO|Kazaliwa Kwetu, Kwa Ajili Yetu|Mwongozo: Neema ya Kuzaliwa Kwake|Akinamama wengi, katika kusherehekea siku ya kuzaliwa ya watoto wao, huwasimulia kwa kwa uyakinifu yaliyotokea siku na wakati walipozaliwa. ...
  • Week 15a Review: Juma 15a Tathmini 

   Alexander, Andy, S.J.; Waldron, Maureen McCann (Creighton University, Online Ministries. Omaha, Nebraska, United States, 2000)
   JUMA LA MARUDIO|Kutua kwa Muda Ili Kukagua Neema Tulizopokea|Mwongozo: Kufanya Tathmini|Katika Mazoezi ya Kiroho, Mt. Inyasi anawasisitizia waongozi wa wale wanaofanya Mazoezi kuwakumbusha wanaofanya Mazoezi kuwa ni vema ...
  • Week 16 Guide: Juma 16 

   Alexander, Andy, S.J.; Waldron, Maureen McCann (Creighton University, Online Ministries. Omaha, Nebraska, United States, 2000)
   JUMA LA KUMI NA SITA|Maisha Nje ya Hadhara kwa Miaka Thelathini|Mwongozo: Mwana wa Seremala|Mojawapo ya ukweli wa kushangaza sana kumhusu Yesu Kristu ni kuwa tunajua kidogo sana kuhusu maisha yake katika miaka thelathini ...
  • Week 17 Guide: Juma 17 

   Alexander, Andy, S.J.; Waldron, Maureen McCann (Creighton University, Online Ministries. Omaha, Nebraska, United States, 2000)
   Tumeanza kutafakari maisha ya Yesu. Tumeona jinsi, tangu hapo katika awali utoto wake, maisha yake yalijengeka katika kumtumainia Mungu, kujisalimisha katika mpango wa Mungu, na kukubali hali ya umaskini na kukataliwa. ...
  • Week 17a Review: Juma 17a Tathmini 

   Alexander, Andy, S.J.; Waldron, Maureen McCann (Creighton University, Online Ministries. Omaha, Nebraska, United States, 2000)
   JUMA LA MARUDIO|Kutua Kwa Muda Ili Kupitia Neema Tulilizopokea|Mwongozo: Neema za Kutuingiza Ndani Zaid|Tunatua tena kidogo ili kutoa nafasi kwa neema tulizopokea kupenyeza ndani zaidi mioyoni mwetu. Tunafanya mafungo haya ...
  • Week 18 Guide: Juma 18 

   Alexander, Andy, S.J.; Waldron, Maureen McCann (Creighton University, Online Ministries. Omaha, Nebraska, United States, 2000)
   JUMA LA KUMI NA NANE|Namna Tatu za Miitikio|Mwongozo: Motisha|Kabla ya kurudi kwenye maisha ya Yesu, tuchukue wiki moja kuweka msingi wa tafakari zitakazofuata. Tunajua tutavutiwa ndani zaidi katika uhusiano wetu na Yesu ...
  • The Week 2 Guide: Juma 2 

   Alexander, Andy, S.J.; Waldron, Maureen McCann (Creighton University, Online Ministries. Omaha, Nebraska, United States, 2000)
   JUMA LA PILI|Hadithi ya Maisha Yetu: Kuingia Zaidi Ndani Yake|Mwongozo: Kuangalia kwa Makini Zaidi Hadithi za Maisha Yetu| Kama tulivyopitia “kitabu cha picha” cha hadithi za maisha yetu wiki iliyopita, zimetujia kumbukumbu ...
  • The Week 3 Guide: Juma 3 

   Alexander, Andy, S.J.; Waldron, Maureen McCann (Creighton University, Online Ministries. Omaha, Nebraska, United States, 2000)
   JUMA LA TATU|Mtazamo—Picha Thabiti|Mwongozo: Ulimwengu Kama Unavyopaswa Kuwa|Baada ya majuma mawili ya kupitia na kutafakari hadithi ya maisha yetu na kuiona kama hadithi ya uwepo wa Mungu asiyetutelekeza kamwe, sasa ...
  • The Week 4 Guide: Juma 4 

   Alexander, Andy, S.J.; Waldron, Maureen McCann (Creighton University, Online Ministries. Omaha, Nebraska, United States, 2000)
   JUMA LA NNE|Picha Thabiti—Kuwa Katika Urari wa Maisha|Mwongozo: Mifano ya Uhuru wa Kiroho|Juma hili tunasonga mbele kutoka katika utoaji shukrani na sifa kwa Mungu; kutoka katika mtazamo wa picha kubwa ya mpangilio wa ...
  • The Week 5 Guide: Juma 5 

   Alexander, Andy, S.J.; Waldron, Maureen McCann (Creighton University, Online Ministries. Omaha, Nebraska, United States, 2000)
   JUMA LA TANO|Vurugu ya Dhambi—Tishio la Uasi|Mwongozo: Maana ya Dhambi|Tumepitisha majuma kadhaa tukitafakari kwa furaha jinsi ya kuishi kwa mpangilio unaoendana na sababu yetu ya kuweko. Sasa tunageukia upande mwingine, ...
  • The Week 6 Guide: Juma 6 

   Alexander, Andy, S.J.; Waldron, Maureen McCann (Creighton University, Online Ministries. Omaha, Nebraska, United States, 2000)
   JUMA LA SITA|Vurugu ya Dhambi—Uasi Binafsi|Mwongozo: Wakati wa Kuitambua Nafsi Yangu kwa Undani|Baada ya Mfalme Daudi kuzini na Bethsheba na kumuua kwa makusudi Uria mumewe Bethsheba, Nabii Nathani alimjia akimletea fumbo. ...
  • The Week 7 Guide: Juma 7 

   Alexander, Andy, S.J.; Waldron, Maureen McCann (Creighton University, Online Ministries. Omaha, Nebraska, United States, 2000)
   JUMA LA SABA|Vurugu la Dhambi — Mwelekeo Binafsi|Mwongozo: Kuweka Wazi na Kutegua Fumbo la Dhambi Zetu|Juma lililopita tulipitia uwepo wa dhambi na udhambi wetu katika mtazamo wa upendo mkuu wa Mungu. Juma hili tunajipa ...