• Login
    View Item 
    •   CDR Home
    • Mission and Ministry
    • An Online Retreat
    • View Item
    •   CDR Home
    • Mission and Ministry
    • An Online Retreat
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Week 17 Guide: Juma 17

    Thumbnail
    View/Open
    doll17.jpg (110.8Kb)
    doll17.jpg (110.8Kb)
    Author
    Alexander, Andy, S.J.
    Waldron, Maureen McCann
    Date
    2000-01-01


    Metadata
    Show full item record
    Browse: Previous Reflection * Next Reflection

    Retreat Guide: Opening Text and Content

    To see the original html pages, PDFs and audio files, click the file links on the left.

    Tumeanza kutafakari maisha ya Yesu. Tumeona jinsi, tangu hapo katika awali utoto wake, maisha yake yalijengeka katika kumtumainia Mungu, kujisalimisha katika mpango wa Mungu, na kukubali hali ya umaskini na kukataliwa. Tumekuwa tukisali ili kumjua, kumpenda na kuwa naye kwa undani zaidi. Kabla hatujaendelea mbele kutafakari jinsi alivyotekeleza mwito wake mbele za watu, tunatenga majuma machache kujiweka katika hali ambayo mafungo haya yatakuwa na nguvu ya kuyagusa kwa ndani kabisa maisha yetu na kuyaekeza maamuzi tutakayokuwa tukifanya tutakapokuwa tunamkaribia zaidi Yesu.

    Ni shauku ambayo hutuongoza katika kuchagua au kuamua. Kuelewa maamuzi na chaguzi tunazofanya, na kujitayarisha kufanya maamuzi mapya, sharti tuzielewe shauku zetu na kuwa tayari kuzirekebisha ikibidi.

    Juma lote hili, katika muda unaopata baada ya kumaliza shughuli fulani na kabla hujaanza nyingine, au uwapo katika kwenda sehemu ya shughuli inayofuata, au ukiwa katika mapumziko mafupi katika siku ambapo umebanwa sana na shughuli jaribu kuelewa jinsi ya kuwa na shauku au kiu inayotuweka pamoja na Yesu. Huku tukijifunza kuikubali njia ya Yesu kwa uhuru, tutajaribu kuelewa nini hasa ni kinyume cha kuwa na shauku, njia ambayo tunaweza kusema inazinga tamaduni zetu mamboleo.

    Maandiko Matakatifu:

    Matayo 5:1-16

    Wagalatia 5:16-26

    Wafilipi 4:11-15

    1 Timoteo 6:6-10, 17-19

    1 Petro 5:1-11
    Persistant link to this record
    http://hdl.handle.net/10504/116880

    DSpace software copyright © 2002-2015  DuraSpace
    Contact Us | Send Feedback
    Theme by 
    @mire NV
     

     

    Browse

    All of the CDRCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Statistics

    Most Popular ItemsStatistics by CountryMost Popular Authors

    DSpace software copyright © 2002-2015  DuraSpace
    Contact Us | Send Feedback
    Theme by 
    @mire NV