• Login
    View Item 
    •   CDR Home
    • Mission and Ministry
    • An Online Retreat
    • View Item
    •   CDR Home
    • Mission and Ministry
    • An Online Retreat
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Week 18 Guide: Juma 18

    Thumbnail
    View/Open
    Juma18.html (14.90Kb)
    doll18.jpg (57.66Kb)
    Author
    Alexander, Andy, S.J.
    Waldron, Maureen McCann
    Date
    2000-01-01


    Metadata
    Show full item record
    Browse: Previous Reflection *

    Retreat Guide: Opening Text and Content

    To see the original html pages, PDFs and audio files, click the file links on the left.

    JUMA LA KUMI NA NANE

    Namna Tatu za Miitikio

    Mwongozo: Motisha

    Kabla ya kurudi kwenye maisha ya Yesu, tuchukue wiki moja kuweka msingi wa tafakari zitakazofuata. Tunajua tutavutiwa ndani zaidi katika uhusiano wetu na Yesu na kuwa hii itatuweka huru zaidi katika maamuzi na chaguzi tutakazokuwa tukifanya katika maisha yetu.

    Juma hili tukiendelea na shughuli na kazi zetu, tutakuwa ‘tukichambua moyoni’ simulizi ya kitafiti. Tutafanya hali ya kufikirika lakin iliyo katika mfumo wa hali halisi ya maisha, na tutaangalia njia tatu za kuitikia hali halisi inayojitokeza maishani.
    Persistant link to this record
    http://hdl.handle.net/10504/116882

    DSpace software copyright © 2002-2015  DuraSpace
    Contact Us | Send Feedback
    Theme by 
    @mire NV
     

     

    Browse

    All of the CDRCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Statistics

    Most Popular ItemsStatistics by CountryMost Popular Authors

    DSpace software copyright © 2002-2015  DuraSpace
    Contact Us | Send Feedback
    Theme by 
    @mire NV